Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Makalla: CCM hatutegemi ushindi wa mbeleko

Makalla Amos Katibu Makalla: CCM hatutegemi ushindi wa mbeleko

Thu, 5 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

hama cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakipo tayari kupata ushindi kwa njia ya upendeleo na kwamba kauli iliyotolewa hivi karibuni na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido, Marco Ng'umbi, kuwa CCM ilishinda mwaka 2020 kwa upendeleo na kuingia porini haikuwa kauli ya chama hicho.

hama cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakipo tayari kupata ushindi kwa njia ya upendeleo na kwamba kauli iliyotolewa hivi karibuni na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido, Marco Ng'umbi, kuwa CCM ilishinda mwaka 2020 kwa upendeleo na kuingia porini haikuwa kauli ya chama hicho. Katibu wa NEC Itikadi na Mafunzo CCM, CPA Amos Makalla, ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na viongozi na wanachama wa CCM, kutoka Wilaya za mkoa wa Arusha, baada kuwasili kwa ziara ya siku tano ya mikoa wa Arusha na Manyara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live