Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Majonzi:Familia inayodaiwa kuuliwa na House Boy imezikwa leo DSM

Video Archive
Tue, 15 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Kutokea makaburi ya Kondo Mbezi Beach Dar es Salaam wanafamilia waliopoteza maisha kwa madai ya kuuliwa na House Boy wamezikwa. Waliofariki ni Emilly Mutaboyerwa (Mama), Daniel Mutaboyerwa (15) na Damita Mutaboyerwa (13) ambapo tukio lilitendeka June 9, 2021.

Chanzo: millardayo.com