Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Majaliwa amewataka wananchi kufuata ushauri wa wataalam

MAJALIWA 3 Chanjo

Thu, 26 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasihi wananchi kuwasikiliza Wataalamu katika suala la Chanjo ya UVIKO-19. Majaliwa asema ni muhimu kupata chanjo kwasababu inasaidia kupunguza makali ya Ugonjwa huo endapo utapata maambukizi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasihi wananchi kuwasikiliza Wataalamu katika suala la Chanjo ya UVIKO-19. Majaliwa asema ni muhimu kupata chanjo kwasababu inasaidia kupunguza makali ya Ugonjwa huo endapo utapata maambukizi. Amesema "Hii sio Chanjo ya kwanza, tumechanja Magonjwa mengine. Nawaomba achaneni na wapotoshaji. Watu wanadhani kila kinachotoka huko ni kibaya" - Amemalizia kwa kusema, toka Ugonjwa ulipoingia Viongozi wa Kitaifa akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan walisema watajiridhisha na Wataalamu wameridhia aina za Chanjo zilizochaguliwa ni salama

Chanzo: www.tanzaniaweb.live