Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Majaliwa: Tumuenzi  Dk Magufuli kwa kuuishi utumishi wake

99b8fec3723c287aa444e312016d1e7c.jpeg Tshisekedi: Tumepoteza jabali, mtetezi wa mali za Afrika

Mon, 22 Mar 2021 Chanzo: www.habarileo.co.tz

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema namna nzuri ya kumuenzi Hayati Dkt. John Magufuli ni kwa Watu kuuishi utumishi wake uliojaa ujasiri, maono na mapenzi makubwa kwa Nchi

Akizungumza katika Uwanja wa Jamhuri amesema, "Wengi tulitamani aendelee kuwa nasi kimwili, hata hivyo kifo ni suala lisiloepukika"

Ameungana na kauli iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Watanzania kuendelea kushirikiana na kuzidisha umoja na mshikamano.

Chanzo: www.habarileo.co.tz