Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Majaliwa Kumzika Kwandika leo

Mazishi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

Mon, 9 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amewasili katika kijiji cha Butibu kwa ajili ya Ibada ya mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mbunge wa Ushetu Elias Kwandikwa ambapo Ibada hiyo inaongozwa na Askofu Ludovick Minde wa Jimbo Katoliki Moshi na Msimamizi wa Jimbo Katoliki Kahama mkoani Shinyanga.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amewasili katika kijiji cha Butibu kwa ajili ya Ibada ya mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mbunge wa Ushetu Elias Kwandikwa ambapo Ibada hiyo inaongozwa na Askofu Ludovick Minde wa Jimbo Katoliki Moshi na Msimamizi wa Jimbo Katoliki Kahama mkoani Shinyanga. Eliasi Kwandikwa atazikwa leo August 9 nyumbani kwao Butibu, Ushetu Wilaya ya Kahama na Waziri mkuu atawaongoza waombolezaji kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu na baadae itapigwa mizinga 17 kwa heshima ya kijeshi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live