Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Magufuli atoa eneo la Polisi kwa wananchi, uhakiki wa ardhi kuhakikiwa na kitambulisho NIDA (+video)

Video Archive
Sat, 6 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Waziri wa Ardhi, Nyumbani na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ametangaza rasmi kuanzia July 01 2021, kuanza kwa zoezi la Kitaifa la uhakiki wa umiliki wote wa ardhi kwa kutumia Kitambulisho cha NIDA kwa nchi nzima.

Waziri wa Ardhi, Nyumbani na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ametangaza rasmi kuanzia July 01 2021, kuanza kwa zoezi la Kitaifa la uhakiki wa umiliki wote wa ardhi kwa kutumia Kitambulisho cha NIDA kwa nchi nzima. “Tunataka wamiliki wote hewa waliomilikishwa kimakosa, kiwizi, kiutapeli na kiujanja lazima tuwabaini lazima tujue kwa nini jina lako la kiwanja halifanani na majina ya hati yako ulipataje, hata kama una nyumba mbili hatukunyang’anyi hatuna ukomo wa umiliki” Waziri Lukuvi

Chanzo: millardayo.com