Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Magari yagongana na kuwaka moto Tanga

Magari Tanga Magari yagongana na kuwaka moto Tanga

Mon, 21 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Magari mawili ya mizigo (Semi-trailer), yamegongana na kuwaka moto jioni ya jana October 20,2024 katika barabara kuu ya Tanga- Dar es salaam eneo la Kwedikwazu Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ambapo inahofiwa kuwa baadhi ya Watu wamepata madhara ikiwemo Madereva wa magari hayo.

Magari mawili ya mizigo (Semi-trailer), yamegongana na kuwaka moto jioni ya jana October 20,2024 katika barabara kuu ya Tanga- Dar es salaam eneo la Kwedikwazu Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ambapo inahofiwa kuwa baadhi ya Watu wamepata madhara ikiwemo Madereva wa magari hayo. Taarifa zinasema tayari Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Tanga na Timu yake wapo njiani kuelekea eneo la tukio na jitihada za kuzima moto zinaendelea hadi usiku huu, #AyoTV inaendelea kumtafuta RPC Tanga ili kupata taarifa zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live