Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mafuriko Hai watu watatu wafariki,gari lasombwa,DC Sabaya anena (+video)

Video Archive
Fri, 23 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Hai mkoani Kilimanjaro zimesababisha maafa baada ya watu watatu kudaiwa kufariki dunia kwa kusombwa na gari ndogo walilokuwa ndani yake katika kata ya Masama.

Mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Hai mkoani Kilimanjaro zimesababisha maafa baada ya watu watatu kudaiwa kufariki dunia kwa kusombwa na gari ndogo walilokuwa ndani yake katika kata ya Masama. Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amesema kwa sasa watakaa na kamati ya ulinzi na usalama kwa lengo lakuangalia namna yakuwasaidia wananchi hao.

Chanzo: millardayo.com