Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maamuzi ya Majaliwa kwa viongozi TANESCO

WEB Maamuzi ya Majaliwa kwa viongozi TANESCO

Thu, 20 May 2021 Chanzo: eatv.tv

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani asiishie kuwasimamisha kwa siku kumi tu meneja wa TEHAMA na wasaidizi wake, bali wakae pembeni hadi hapo uchunguzi zaidi utakapokamilika.

Submitted by Elbogast on Alhamisi , 20th Mei , 2021 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani

Ametoa agizo hilo leo Mei 20, 2021 alipozungumza na Menejementi na Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwenye makao makuu ya zamani Shirika hilo jijini Dar es Salaam.

Tazama video hapo chini

 

Chanzo: eatv.tv