Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maalim Seif ajibu mapigo kwa Prof. Lipumba ‘anatumwa, mpuuzeni na genge lake’ (+video)

Video Archive
Mon, 26 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Katibu Mkuu wa CUF,Maalim Seif amezungumza na waandishi wa habari juu ya maazimio ya kikao cha Kamati ya utendaji ya Taifa ambapo amesema kuna hujuma zinazopangwa na kutekelezwa na Prof. Lipumba nkwa kushirikiana na Msajili wa vyama vya siasa; Video hii Maalim Seif anaeleza;

Chanzo: bongo5.com