Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ma-DC Kemirembe, Dk Vincent wabadilishana

Ma DC Kemirembe, Dk Vincent Wabadilishana.png Ma-DC Kemirembe, Dk Vincent wabadilishana

Mon, 22 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewahamisha vituo vya kazi Wakuu wa Wilaya (DC) wawili.

Kemirembe Lwota aliyekuwa DC wa Manyoni, Mkoa wa Singida anakwenda Serengeti, mkoani Mara.

Dk Vincent Mashinji aliyekuwa Serengeti anakwenda Manyoni.

Uhamisho huo umefanyika usiku wa jana Jumapili, Julai 21, 2024 na kutangazwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live