Menu ›
Habari
Wed, 30 Mar 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumatano, Machi 30, 2022 anatarajiwa kupokea ripoti ya ukaguzi wa hesabu za serikali kwa mwaka 2020/2021 kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pamoja na ripoti ya TAKUKURU, ikulu Chamwino jijini Dodoma.