Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Live: Rais Samia Anapokea Taarifa Ya CAG, Takukuru Muda Huu, Ikulu Dodoma.

Video Archive
Sun, 28 Mar 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Live: Rais Samia Anapokea Taarifa Ya CAG, Takukuru Muda Huu, Ikulu Dodoma… March 28, 2021 by Global Publishers

Live: Rais Samia Anapokea Taarifa Ya CAG, Takukuru Muda Huu, Ikulu Dodoma… March 28, 2021 by Global Publishers RAIS Mpya wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Machi 28, 2021 anapokea taarifa kutoka kwa mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali ( CAG) za mwaka wa fedha 2019/20, pamoja na taarifa ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru) ya mwaka 2019/20.. Tukio hilo linafanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma.

Chanzo: globalpublishers.co.tz