Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

LIVE: Wabunge wanaiuliza maswali Serikali na kupatiwa majibu Bungeni

Video Archive
Tue, 27 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaendelea leo Juni 27, 2023 bungeni jijini Dodoma. Ni bunge la 12, mkutano wa kumi na moja kikao cha hamsini na sita.

Vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaendelea leo Juni 27, 2023 bungeni jijini Dodoma. Ni bunge la 12, mkutano wa kumi na moja kikao cha hamsini na sita. Asubuhi hii ni kipindi cha maswali na majibu, wabunge wanauliza maswali na mawaziri wanajibu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live