Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

LIVE: Rais Samia anahutubia mkutano wa hadhara Nyamagana Mwanza

Video Archive
Tue, 30 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili mkoani Mwanza kwa ziara yake ya siku moja ambapo kupitia ziara hiyo atakabidhi dhana za uvuvi kwa wavuvi wa kanda ya ziwa pamoja na kuzungumza na Wananchi kwenye Mkutano wa Hadhara katika uwanja wa Nyamagana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live