Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

LIVE: Rais Samia akizungumza na viongozi wa kitaifa vyama vya siasa nchini

Video Archive
Tue, 3 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa nchini, Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 03 januari, 2023

Kikao hicho kinachofanyikiwa Ikulu jijini Dar es Salaam, kila chama kinawakilishwa na watu wanne, mwenyekiti, makamu wenyeviti wawili wa Bara na Zanzibar pamoja na katibu mkuu.

Miongoni mwa viongozi hao ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live