Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

LIVE: Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama cha Mapinduzi

Video Archive
Wed, 7 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)-NEC imepitisha majina ya wagombea 374 kuwania ujumbe wa NEC leo Desemba 7.

Wagombea hawa watachuana kuwania viti 30 kwa maana ya 15 Tanzania Bara na 15 Zanzibar katika mkutano mkuu wa CCM unaoanza Desemba 7 hadi 8,2022.

Kikao cha kuchuja majina ya wagombea zaidi ya 2,000 kimefanyika leo Desemba 2022 chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Tanzania Bara wamepitishwa wagombea 251 watakaowania nafasi 15. Kati ya hao 251, wanawake ni 79 na wanaume 172;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live