BUNGE LA 12 MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA BAJETI KIKAO CHA TISA - TAREHE 20 APRILI, 2022
RATIBA: i) DUA ii) HATI ZA KUWASILISHA MEZANI - Waziri wa Nchi, Ofisi ya RAIS (UTUMISHI NA UTAWALA BORA) - Wizara ya Fedha na Mipango - Wizara ya Afya - Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi - Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi - Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Wizara ya Kilimo - Wizara ya Maji
iii) MASWALI - Ofisi ya RAIS (TAMISEMI) - Ofisi ya RAIS (UTUMISHI NA UTAWALA BORA) - Wizara ya Madini - Wizara ya Maliasili na Utalii - Wizara ya Nishati - Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi
HOJA ZA SERIKALI - Waziri Nchi, Ofisi ya RAIS (TAMISEMI)