Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

LIVE: Mjadala mkali unaendelea hivi sasa Bunge la Bajeti

Video Archive
Tue, 19 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

BUNGE LA 12 MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA BAJETI KIKAO CHA NANE - TAREHE 19 APRILI, 2

Bunge la 12 mkutano wa saba wa Bunge la Bajeti kikao cha nane unaendela leo April 19, 2022 jijini Dodoma.

Ratiba ya Bunge leo ni kama ifuatavyo i) DUA ii) MASWALI - Ofisi ya RAIS (TAMISEMI) - Wizara ya Fedha na Mipango - Wizara ya Afya - Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi - Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi - Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Wizara ya Kilimo - Wizara ya Maji

iii) HOJA ZA SERIKALI - Waziri Nchi, Ofisi ya RAIS (TAMISEMI)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live