Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#LIVE: Kinachoendelea Mahakamani kesi ya Kupinga matokeo ya Urais Kenya

Video Archive
Tue, 30 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Agosti 9 mwaka huu Kenya ilifanya Uchaguzi Mkuu uliompa ushindi aliekuwa Naibu Rais William Arap Ruto.

Mpinzani wa Karibu wa Ruto, Mwanasiasa Mkongwe Raila Odinga alitinga Mahakamani kupinga matokeo hayo huku akidai kuibiwa kura na Ruto.

Sasa kesi hiyo imeanza kusikilizwa muda huu na Tanzaniaweb tunakuletea kila ambacho kinaendelea katika usikilizwaji wa kesi hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live