Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#LIVE: Ibada ya Kuaga mwili wa Maunda Zorro Vilio, Simanzi vyatawala (+Video)

Video Archive
Sat, 16 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ibada ya kuuaga mwili wa msanii Mkongwe Maunda Zorro, imefanyika leo aprili 16, 2022, maeneo ya Kigamboni Toangoma, nyumbani kwake alipokua akiishi pamoja na familia yake.

Tanzania Web inakuletea matangazo ya moja kwa moja juu ya kila kinachoendelea katika ibada hiyo.

Maunda amefariki akiwa na umri wa miaka 36, alizaliwa mwaka 1986, amefariki April 13, 2022 kwa ajali ya gari na ameacha watoto watatu wa kiume.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live