Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

LIVE: Fatilia hapa mjadala unaondelea muda huu Bungeni

Video Archive
Fri, 3 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bunge la 12 Mkutano wa 10 Kikao cha nne linaendelea leo Februari 03,2023 Jijini Dodoma.

Bunge la 12 Mkutano wa 10 Kikao cha nne linaendelea leo Februari 03,2023 Jijini Dodoma. Ratiba ya mkutano wa kumi Tarehe 03/2/2023 i.Dua ii.Hati za kuwasilisha Mezani -Mwenyekiti wa kudumu ya Bunge ya masuala ya ukimwi -Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati ya Madini iIi.Maswali -ofisi ya waziri mkuu,Ofisi ya Raisi(Tamisemi),Ofisi ya Raisi(Utumishi na Utawala Bora) ,Wizara ya uwekezaji,viwanda na Biashara,Wizara ya madini,wizara ya maji,wizara ya mifugo na uvuvi,wizara ya maliasili na utalii,wizara ya utamaduni,sanaa na michezo iV.Hoja za kamati -Kamati Ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI -Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madin

Chanzo: www.tanzaniaweb.live