Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

LIVE: Bunge la 12 Bajeti ya Wizara ya Kilimo inajadiliwa

Video Archive
Mon, 8 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bunge la 12, mkutano wa 11, kikao cha ishirini linaendelea Bungeni jijini Dodoma leo Mei 8, 2023. Bajeti ya Wizara ya Kilimo inajadiliwa na wabunge wanatoa michango yao baada ya kuwasilishwa na waziri mwenye dhamana, Hussein Bashe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live