Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kwa mara ya kwanza Kikwete kafunguka utendaji kazi wa Rais Samia (video+)

Video Archive
Tue, 14 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Rais Mstaafu wa Tanzania, Dr. Jakaya Kikwete amesema Nchi inakwenda vizuri na kero na changamoto za sekta mbalimbali zinatatuliwa ikiwemo afya ambapo Serikali imeendelea kutambua umuhimu wa kuongeza wigo wa huduma za dharura.

Dr. Kikwete amesema, Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kazi nzuri na analeta matumaini kwa Watanzania kwa manufaa ya Nchi ya leo na kesho.

Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea kila kitu unaweza ukabonyeza play kufahamu alichozungumza Mstaafu Kikwete.

Chanzo: millardayo.com