Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Kutoka msibani, mwili wa Fredwaa ulivyowasili, Gerald Hando na Simalenga wafunguka

Video Archive
Mon, 14 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Mwili wa Marehemu Fred Masawe maarufu Kama Fredwaa umewasili nyumbani kwake Mbezi kwaajili ya Ibada fupi na familia kuaga kisha utapelekwa Kanisani ambapo itafanyika Ibada ya kuuwaga na kupelekwa nyumbani kwao Kilimanjaro kwa mazishi. sasa Ayo TV imempata Mtangazaji GERAD HANDO Pamoja na Simalenga wamefunguka yale yaliyowahi kufanywa na Marehemu Fredwaa.

Chanzo: millardayo.com