Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kumbe Scorpion aliyemtoboa macho Said, siye aliyefungwa? - Video

Video Archive
Wed, 1 Feb 2023 Chanzo: Global TV Online

Salum Njwete ambaye mitaa imembatiza jina la Scorpion, ametoka gerezani baada ya kutumikia kifungo cha miaka saba, akidaiwa kumtoboa macho na kumjeruhi vibaya kwa visu kijana Said Mrisho.

Salum Njwete ambaye mitaa imembatiza jina la Scorpion, ametoka gerezani baada ya kutumikia kifungo cha miaka saba, akidaiwa kumtoboa macho na kumjeruhi vibaya kwa visu kijana Said Mrisho. Global TV imefanikiwa kuzungumza naye katika Exclusive Interview ambapo anafunguka mambo mengi ambayo hakuna aliyekuwa anayajua, likiwemo suala la watu kumbatiza jina la Scorpion, ambalo kiuhalisia lilikuwa ni jina la mhalifu mwingine.

Chanzo: Global TV Online