Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kinana azuru kaburi la Magufuli

Kinana Azuru Kaburi La Magufuli.jpeg Kinana azuru kaburi la Magufuli

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amezuru kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, hayati Dk. John Magufuli akiwa ziarani mkoani Geita.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amezuru kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, hayati Dk. John Magufuli akiwa ziarani mkoani Geita. Kinana amezuru kaburi hilo akiwa katika siku ya kwanza kati ya mbili ya ziara yake ya kukagugua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM na uhai wa Chama mkoani humo akiambatana na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigela.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live