Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kijana amebuni APP ya kutuma pesa kwa njia ya mitandao ya kijamii (+video)

Video Archive
Sat, 5 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Edgar Nyambo (23) anaingia kwenye headlines baada ya kutengeneza Application inayokutuma miamala kwa kutumia mitandao ya kijamii na anasema App hii anaweza ikakuelekeza umbali gani wakala wa Pesa anapatikana na haina makato.

Edgar anasema kwa sasa App hiyo ina wiki tatu inapatikana Play Store na endapo akipata ufadhiri wa kuiendeleza kwa Makampuni na Taasis itasaidia kuondoa tatizo kukosea namba ya wakala na uhalifu mitandaoni

“Hii App unaweza kutuma pesa kwa mtu aliyepo kwenye mtandao wa kijamii na kuna batani unaminya ya SHARE malipo itainaonesha mitandao yote iliyopo kwenye simu una-share ile link kwa mtu au kwenye group na inakuwezesha kulipa bills” Edgar Nyambo

Chanzo: millardayo.com