Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kauli ya Gwajima baada ya kuapishwa "Bunge hatutanyamaza" (+video)

Video Archive
Tue, 10 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

“Hili bunge halitakuwa la ndio hata kidogo tumekuja hapa kuwawakilisha wananchi, wananchi Wana mambo yao ambayo wametutuma tuje tuyaseme bungeni hatutegemei kunyamaza kwa kufikiri kwamba ni chama kimoja” Askofu Gwajima

“Hili bunge halitakuwa la ndio hata kidogo tumekuja hapa kuwawakilisha wananchi, wananchi Wana mambo yao ambayo wametutuma tuje tuyaseme bungeni hatutegemei kunyamaza kwa kufikiri kwamba ni chama kimoja” Askofu Gwajima “Tutasema na tutasema kwelikweli, tutabana kushoto, kulia, mashabiki, juu, chini ili kusudi ndogo za wananchi zitimizwe” -Askofu Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe

Chanzo: millardayo.com