Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Katibu wa Bunge ateuliwa kuwa Jaji Mahakama Kuu

Katibu Wa Bunge Ateuliwa Kuwa Jaji Mahakama Kuu.jpeg Katibu wa Bunge ateuliwa kuwa Jaji Mahakama Kuu

Tue, 17 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu Septemba 16, 2024 amemteua Nenelwa Mwihambi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Kabla ya uteuzi huu, Mwihambi alikuwa Katibu wa Bunge.

Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu Septemba 16, 2024 amemteua Nenelwa Mwihambi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Kabla ya uteuzi huu, Mwihambi alikuwa Katibu wa Bunge. Nenelwa ataapishwa Septemba 19, 2024, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live