Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kamanda aliempindua Rais Conde autaka Urais "Apiga marufuku wengine kugombea" (video+)

Video Archive
Thu, 30 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Kutokea nchini Guinea moja kati ya taarifa iliyowagusa wengi ni juu ya tetesi ya kwamba Kamanda aliyeongoza Mapinduzi ya Kumuondoa Rais wa nchi hiyo, Alpha Conde na kuipindua Serikali, Mamady Doumbouya anautaka Urais wa nchi hiyo.Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia hapa taarifa kamili unaweza  ukabonyeza play kufahamu zaidi.

Chanzo: millardayo.com