Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Jux: Nipo kwenye mahusiano mapya, muda wa kumtambulisha bado (+ Video)

Video Archive
Thu, 10 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

CEO wa African boy Juma Jux ameeleza kilichotokea kati yake na Harmonize na kusema kuwa wameyamaliza ila alimuomba atoe bango lenye jina lake Instagram.

CEO wa African boy Juma Jux ameeleza kilichotokea kati yake na Harmonize na kusema kuwa wameyamaliza ila alimuomba atoe bango lenye jina lake Instagram. Mbali na hilo Jux ameeleza kuhusu ukaribu wake na Jackie Cliff ambaye aliwahi kuwa mpenzi wake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live