Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jenerali amshangaa dada mwenye uwezo akilipua silaha za kivita (+video)

Video Archive
Sun, 25 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Mkuu wa Oparasheni na Mafunzo wa Jeshi la Wananchi JWTZ Meja Jenerali Alfred Kapinga ameshangazwa na umahiri wa Askari wa kike waliolipua bomu la kivita RPG-7 kwa mara ya kwanza wakati wa kufunga mafunzo makubwa kundi la 23 ya mwaka 2020 katika kituo cha Mafunzo ya Kijeshi Kalunde Tabora.

Mkuu wa Oparasheni na Mafunzo wa Jeshi la Wananchi JWTZ Meja Jenerali Alfred Kapinga ameshangazwa na umahiri wa Askari wa kike waliolipua bomu la kivita RPG-7 kwa mara ya kwanza wakati wa kufunga mafunzo makubwa kundi la 23 ya mwaka 2020 katika kituo cha Mafunzo ya Kijeshi Kalunde Tabora. Meja Jenerali Kapinga amesema “Mpaka nazeeka sasa nilikuwa sijaona wanadada wanapiga RPG sisi tushazoea kazi hii niya kina baba lakin leo nimeshuhudia askari wa kike wanapiga RPG-7V”.

Chanzo: millardayo.com