Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

JPM aonya Wasichana wa TZ wanaojiachia kwenye video za mziki, six-pack za Wanaume je? (+video)

99 Screen Shot 2017 12 12 At 4.51.12 PM 660x400.png

Tue, 12 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Ni kutoka Dodoma Tanzania ambako Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amezungumza na Jumuia ya Wazazi na moja ya alivyozungumzia ni anachokiona kwenye TV kutoka kwenye video za Muziki wa Tanzania.

President JPM “Huwa mara nyingi mimi ni mshabiki mzuri wa miziki, kila ninapofungulia miziki ukitaka kuwaona wanaocheza utupu ni Wanawake, Wanaume hapana”

Mtazame zaidi Rais Magufuli akiliongelea hilo hapa chini kwenye hii video

“HAKUNA CHENYE MWANZO KISICHO NA MWISHO” – WEMA SEPETU AKIWA NA PAUL MAKONDA

Chanzo: millardayo.com