Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Inashangaza mafuvu zaidi ya 20 yaliyokutwa nyumbani kwa Nyerere "yamezikwa kaburi moja" (+video)

Video Archive
Thu, 15 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Muongozaji wa wageni Mwitongo kwa Mwalimu Julius Nyerere, Gaudensia Waziri ameeleza kuwa wanajeshi waliojenga nyumba ya Baba wa Taifa walikutana na mafuvu zaidi ya 20 na blanketi ambayo yalizikwa kwenye kaburi moja dogo.

Chanzo: millardayo.com