Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Imethibitishwa kwa kura 350 za Wabunge Kassim Majaliwa ndie Waziri Mkuu

WhatsApp Image 2020 11 12 At 10.55.20 660x400.jpeg Imethibitishwa kwa kura 350 za Wabunge Kassim Majaliwa ndie Waziri Mkuu

Thu, 12 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Novemba 12, 2020, limemthibisha Kassim Majaliwa, kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania 2020-2025.

Akitangaza matokeo ya kura zilizopigwa na Wabunge, Spika wa Bunge Job Ndugai amesema Majaliwa amepigiwa kura 350 na hakuna kura iliyoharibika hivyo amepitishwa kwa asimilia 100%.

BODYGUARD WA MAGUFULI AINGIA BUNGENI KWA MBWEMBWE, WABUNGE WAMSHANGILIA, UJUMBE MZITO

Chanzo: millardayo.com