Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Idadi ya watoto wanaougua Saratani yaongezeka nchini

Video Archive
Fri, 10 Sep 2021 Chanzo: Wasafifm

Idadi ya watoto wanaougua ugonjwa wa saratani katika ukanda wa kaskazini imeripotiwa kuongezeka maradufu na madaktari katika hospitali ya rufaa ya KCMC jijini Moshi.

Idadi ya watoto wanaougua ugonjwa wa saratani katika ukanda wa kaskazini imeripotiwa kuongezeka maradufu na madaktari katika hospitali ya rufaa ya KCMC jijini Moshi. Wameitaka jamii ichukue hatua za kubaini viashiria vya ugonjwa huo kabla haujaleta madhara zaidi. wameyasema kwenye maadhimisho ya mwezi wa Saratani yaliyofanyika kwenye hospitali hiyo.

Chanzo: Wasafifm