Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

IGP azungumzia ugaidi Arusha "Matukio yalisumbua, walivamia wakau waumini"

Video Archive
Mon, 5 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Mkuu wa jJshi la Polisi nchini IGP Saimon Sirro akiwa mkoani Arusha amekutana na wenyeviti wa mitaa nakuwataka kufuatilia nakufichua matukio yakihalifu nakusema moja ya matukio anayoyakumbuka kwa kipindi cha nyuma ni pamoja na matukio ya ugaidi yaliyotokea nakupelekea watu kadhaa kufariki.\

Mkuu wa jJshi la Polisi nchini IGP Saimon Sirro akiwa mkoani Arusha amekutana na wenyeviti wa mitaa nakuwataka kufuatilia nakufichua matukio yakihalifu nakusema moja ya matukio anayoyakumbuka kwa kipindi cha nyuma ni pamoja na matukio ya ugaidi yaliyotokea nakupelekea watu kadhaa kufariki.\ Unaweza ukabonyexa play kumsikiliza IGP aliyoyazungumza kuhusu matukio yaliyosumbua Uganda.

Chanzo: millardayo.com