Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

IGP Sirro: Ukiona Mkeo au Mmeo Anabadilika Tupe Taarifa - Video

Video Archive
Sat, 11 Sep 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro amesema kuwa kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Rwanda wameazimia kukabiliana na matukio ya kigaidi na hiyo kutokana na mkakati bainaya nchi hizo kujiwekea malengo ya pamoja.

Mkuu wa huyo wa Jeshi la Polisi ameyasema hayo leo Septemba 10, 2021 alopowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa JK. Nyerere Jijini DSM akitokea nchini Rwanda alipofanya ziara ya siku 3 ,iliyolenga kuboresha ushirikiano wa kukabiliana na matukio mbalimbali ya kijinai ikiwemo ugaidi.

Pia, ameeleza kuwa mkakati mwingine waliojadili ni namna ya kuangalia suala la elimu ya masuala ya dini inayotolewa kwa watoto wa dini zote kama mafunzo wanayopewa yanalenga kuwapa elimu ya kiroho na si mambo mengine.

Chanzo: globalpublishers.co.tz