Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndio Zainabu, Mwanamke anayecheza na nyoka "Live" (+Video)

Video Archive
Wed, 18 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku zote imezoeleka kuwa wanawake ni watu waoga zaidi duniani na wanaongoza kwa kuogopa viumbe kama Nyoka, na wakati Mwingine wanaogopa wadudu wadogo kama mende, vyura, Panya, Lakini imekuwa tofauti kwa mwanamama Zainabu Hamisi Mfaume, maarufu kama Asha Kusah, ambaye anafanya maonyesho ya Utamaduni kwa kutumia Nyoka wakubwa kama chatu.

Siku zote imezoeleka kuwa wanawake ni watu waoga zaidi duniani na wanaongoza kwa kuogopa viumbe kama Nyoka, na wakati Mwingine wanaogopa wadudu wadogo kama mende, vyura, Panya, Lakini imekuwa tofauti kwa mwanamama Zainabu Hamisi Mfaume, maarufu kama Asha Kusah, ambaye anafanya maonyesho ya Utamaduni kwa kutumia Nyoka wakubwa kama chatu. Sio tu kufanya nao Maonyesho hayo anawatunza pia nyoka hao kwa kuwapa chakula na maji kila siku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live