Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu hapa mrithi wa Ng'umbi Longido

Salum Kali .png Huyu hapa mrithi wa Ng'umbi Longido

Tue, 3 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Salum Kali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido, akichukua nafasi ya Marko Ng’umbi ambaye jana Jumapili Septemba mosi, 2024 uteuzi wake ulitenguliwa.

Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Salum Kali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido, akichukua nafasi ya Marko Ng’umbi ambaye jana Jumapili Septemba mosi, 2024 uteuzi wake ulitenguliwa. Kabla ya uteuzi huo, Kali alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigoma. Uteuzi huo umefanyika leo Jumatatu Septemba 2, 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live