Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huu ndio utaratibu wa kufuata unapotaka kutumia sare za Jeshi (+Video)

Video Archive
Mon, 4 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakipiga marufuku kwa raia kuvaa mavazi yanaofanana na sare zao.

Kuliibuka maswali tofauti tofauti wengi wakihoji inakuaje kwa wasanii wa muziki na maigizo ambao katika kazi za sanaa watahitaji kutumia sare hizo.

Sasa Jeshi hilo limetoa utaratibu wa namna ya kufuata ili uweze kutumia sare hizo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live