Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hujuma mradi wa Milioni 400, Mbunge awaka "mwezi mzima hawana maji" (+video)

Video Archive
Thu, 17 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Mbunge wa jimbo la Igalula Venant Protas akiwa kwenye ziara jimboni nmepokea malalamiko kutoka kwa wananchi wa kata ya Igalula ya kukosekana kwa maji kwa zaidi ya wiki moja baada ya kupokea malalamiko hayo.

Mbunge wa jimbo la Igalula Venant Protas akiwa kwenye ziara jimboni nmepokea malalamiko kutoka kwa wananchi wa kata ya Igalula ya kukosekana kwa maji kwa zaidi ya wiki moja baada ya kupokea malalamiko hayo. Mbunge amefika katika chanzo cha maji kilichojegwa mapema 2018 kwa Mil. 400 na kukuta ubovu wa miundombinu na amempigia simu Meneja wa RUWASA Wilaya ya Uyui Mhandisi Godfrey Shibiti na kumuomba kurejesha huduma hiyo kwa haraka.

Chanzo: millardayo.com