Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Heri ya kuzaliwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

SAMIA ED Samia Suluhu Hassan

Fri, 27 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku kama ya leo, Januari 27, mwaka 1960, Rais Samia Suluhu Hassan alizaliwa. Uongozi na wafanyakazi wote TanzaniaWeb wanakutakia heri ya siku ya kuzaliwa. Tunakuombea Mungu akulinde, akupe afya njema na kuendelea kuwatumikia Watanzania katika kipindi cha uongozi wako.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live