Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hamisa amkana Whozu asema aache kumzungumzia "Sina ukaribu nae" (Video+)

Video Archive
Mon, 16 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni msanii Hamisa Mobetto ambae leo Agosti 16, 2021 amekana kuombwa msamaha na Whozu hivi karibuni baada ya Whozu kusema wamemaliza tofauti zao zilizokuwepo.

“Kwanza Whozu sijawahi kuongea nae, sina ukaribu nae na wala sina ukaribu na mtu yoyote ambae anakuwa nae, pia kitu anachotakiwa kukifahamu  kwamba mimi ni Mama mimi ni Dada sidhani kama itapendezwa kwake akiwa na Mama ama Dada akiongelewa Muda wote”- Hamisa Mobetto

“Sio lazima tuwe washikaji ama tuwe marafiki, kwanza mimi kila binadamu anaenifahamu sijawahi kuwa na beef na mtu”-Hamisa Mobetto

Chanzo: millardayo.com