Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Gumzo!!Amber Rutty kawa mgeni mwalikwa shuleni, uongozi watoa tamko

Video Archive
Fri, 27 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke umeeleza kuchukizwa kwake baada ya kusambaa kwa video clip inayomuonesha Mgeni (Amber Rutty) akizungumza na Wanafunzi katika Shule ya Msingi Nzasa iliyopo katika Manispaa hiyo na kusema haihusiki na mwaliko wa Mgeni huyo na kwamba tayari wamemuonya Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo kwa kitendo hicho.Unaweza ukabonyeza play kufahamu tamko la uongozi wa shule hiyo baada ya Amber Rutty kuwa mgeni rasmi.

Chanzo: millardayo.com