Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Familia yatoa utaratibu huu msiba wa Mwele Malecela

Video Archive
Mon, 14 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Familia ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Magonjwa yasiyopewa Kipaumbele katika Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk.Mwele Malecela imetoa kauli juu ya kinachoendelea kuhusu msiba huo ikiwemo taratibu za mazishi na maeneo ambayo mwili wa marehemu utaagwa.

Familia ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Magonjwa yasiyopewa Kipaumbele katika Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk.Mwele Malecela imetoa kauli juu ya kinachoendelea kuhusu msiba huo ikiwemo taratibu za mazishi na maeneo ambayo mwili wa marehemu utaagwa. Dk Mwele amefariki dunia leo Alhamisi Februari 10, 2022 jioni mjini Geneva, Uswisi wakati akipatiwa matibabu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live