Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Dada yangu hajataka niolewe sijui ananiona Bikra bado?” – SHILOLE (+video)

80 Screen Shot 2017 12 12 At 10.04.42 AM 660x400.png Just a photo

Tue, 12 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Mwimbaji wa Bongofleva Shilole amekaa kwenye Exclusive na AyoTV kwa mara ya kwanza toka alipofunga ndoa na Uchebe ambapo moja ya vitu alivyozungumzia ni dada yake kutotaka yeye aolewe.

Shilole amesema “Dada yangu hakukubali mimi niolewe na nilimwambia nimefika muda wa kuolewa sijui ananiona Bikra mpaka leo, mimi nina maamuzi yangu, mimi mkubwa ujue nina watoto wawili alafu bado niamuliwe? nilimwambia nina mtu nampenda usinichagulie mtu wa kuwa nae“

MTAZAME SHILOLE AKIFUNGUKA ZAIDI KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI..

Chanzo: millardayo.com