Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DC Nikki wa Pili kazungumza kuhusu majini wanyonya damu Kisarawe

Video Archive
Wed, 15 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Baada ya kuwepo taarifa za baadhi ya wananchi wanaodai kuna majini yananyonya Damu Kisarawe, Leo DC wa wilaya ya Kisarawe Nickson Simon a.k.a Nikki wa Pili ameibuka na kusema sio kweli bali ni Ugonjwa wa Sickle Cell ambapo wilaya yake imezindua kliniki maalum kwa ajili ya uangalizi wa watu wanaoishi na ‘Sickle Cell’ kwa malengo ya kupunguza vifo vitokanavyo na maradhi hayo.

Baada ya kuwepo taarifa za baadhi ya wananchi wanaodai kuna majini yananyonya Damu Kisarawe, Leo DC wa wilaya ya Kisarawe Nickson Simon a.k.a Nikki wa Pili ameibuka na kusema sio kweli bali ni Ugonjwa wa Sickle Cell ambapo wilaya yake imezindua kliniki maalum kwa ajili ya uangalizi wa watu wanaoishi na ‘Sickle Cell’ kwa malengo ya kupunguza vifo vitokanavyo na maradhi hayo. Nikki ameeleza kwamba kliniki hiyo itasaidia wengi kwani kwa mtu ambaye haendi kliniki akiwa na ugonjwa huo, uwezekano wa kupoteza maisha ni 50% wakati yule anayeenda kliniki uwezekano wa kupoteza maisha unakuwa 7%

Chanzo: millardayo.com