Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Chanjo ya Corona ipo Tanzania anaetaka akachanjwe" - PM Majaliwa

Screenshot 2021 07 21 At 19.03.48 660x400.png "Chanjo ya Corona ipo Tanzania anaetaka akachanjwe" - PM Majaliwa

Thu, 22 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema chanjo ya Covid-19 (Corona) tayari ipo nchini hivyo anayetaka kuchanjwa ruhusa kwenda kupata chanjo hiyo ili apate kinga na zimsaidie kusafiri kwenda kwenye Mataifa ambayo yanataka wanaokwenda wawe wamechanja.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema chanjo ya Covid-19 (Corona) tayari ipo nchini hivyo anayetaka kuchanjwa ruhusa kwenda kupata chanjo hiyo ili apate kinga na zimsaidie kusafiri kwenda kwenye Mataifa ambayo yanataka wanaokwenda wawe wamechanja. Majaliwa ametoa kauli hiyo leo kwenye Baraza la Eid lililofanyika kwenye Msikiti wa Mtoro Mkoani Dar es salaam.

Chanzo: millardayo.com